Hello dears!?...

Qt B

Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
78
Reaction score
4
Whatc up in here!?me new hapa jmn,,,naomba nkaribie kwa swali,naomba kujua et hiyo nokia qwerty naiskia san ckuhz ni shs!?hapa bongo naiihitaji kwa kuchat-chat wth friends...
 
Karibu sana, uko wapi? nenda madukani utaipata tu wala usiohou. fanya window shopping then jipange
 
Karibu sana jamvini, ila usiwe na papara namna hiyo. Subiri Katavi akuletee vinywaji.
 
Thx kwa kunkaribisha vzur ila hicho kinywaj naona knachelewa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…