我们不怕中国人Duh. Sasa kumbe wataalamu wa lugha ya wavimba macho mpo hapa JF.
Basi anzeni kusaidia jirani kujikomboa kutoka kwenye makucha ya hao kung fu Kitchen🙂
Maana yake anauliza. "Je wewe ni mwanamke,"你是女性嗎?
Hapa amemwanbia "Tafadhali tumia kichina"請用中文!
amesema. "Mshirika WA biashsra au mapenzi"商业伙伴或哪种合作伙伴?
Anasema "ikiwa husemi kichina huruhusiwi kuwa hapa!" haki?如果你不會說中文,你就不被允許在這裡!對嗎?
Anaema "Mshirika"合作伙伴😀
Anasema "hatuna hofu ya/kuogopa kichina我们不怕中国人
Pia wahusika WA jadi.还会繁体字?厉害[emoji1474]
Goed Ochtend knapGoede nacht en zomer.
Lol. Utapigwa ban wewe 😂😂😂😂huu ni ukabila😂😂Thie ukiumaga....
Lol. Utapigwa ban wewe 😂😂😂😂huu ni ukabila😂😂
Pia wahusika WA jadi.
Hainuhusu mimi ongea sana.你的谷歌翻译骗你了[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]