The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hii kitu , nashangaa bwashee inawezekana vipi mtu ni mwanaume na akaweza kufanya hvyo🤔Kuna haja ya JamiiForums kuanzisha Jukwaa la watoto,
Halafu nyuzi za aina hii,zinakua zinahamishiwa huko kwenye hilo jukwaa,
Yani leo mtu anakua Me kisha kesho anaanzisha uzi akiwa Ke.
Tatizo ni kwamba,kuna watu hua wanakua kama wana ugonjwa fulani hivi, wakutaka kuanzisha Uzi kila muda,ila wanakua hawana mada za maana,Hii kitu , nashangaa bwashee inawezekana vipi mtu ni mwanaume na akaweza kufanya hvyo🤔
Huwa nina fikiria nyuzi za kushusha kushea humu , ila kabla ya kuposti kichwa inapata picha ya reply za hasa za wale wanaofikiri kwa kina naishia kufuta tu.😄😄Tatizo ni kwamba,kuna watu hua wanakua kama wana ugonjwa fulani hivi, wakutaka kuanzisha Uzi kila muda,ila wanakua hawana mada za maana,
Bwashee kuna watu wamesha jikatia tamaa,akianzisha uzi na watu wakawa wanachangia basi angalau na yeye anapata faraja kupitia huo uzi.
Nikupe namba yake we mluga luga mnywa mbege?Baada ya kuwasagia kunguni wasukuma na I'd kibao akaona abadili na jinsia🚮
🚮Nikupe namba yake we mluga luga mnywa mbege?
Niache zipi?Acha hizo brohhh
Unaweka ignore list kwahiyo nani unamkomoa? Jinga wewe
Mwanaume kujifanya wakike !!!Niache zipi?
Mpaka umeamua kuweka picha ya mjukuu, weka ya kwako sasa.Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha
View attachment 3544611
Nimekupenda bure!Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha
View attachment 3544611
huu mtego, no any member in jf will dare to send their picture jf.Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha
View attachment 3544611
Photo 😃Nini hiko unasubiri?
Wewe haya mambo ya 'wakienyeji' umejulia wapi? 😜Wakienyeji kabisa mtoto, karibu 😁😁
na jamaa anamaneno machafu atari, yanamtoka ukimchokonoa kidogo tuHii kitu , nashangaa bwashee inawezekana vipi mtu ni mwanaume na akaweza kufanya hvyo