Kenyan toto
New Member
- Jul 4, 2020
- 4
- 10
Vijana wa 20yrs bado they are young ....bado wanaenjoy ujana wao and I don't want them to miss that stageMbona haujaandika "nikikupea utawezana..?"
Sasa kwa hiyo miaka si unafungisha breki za kenge wengi tu humu..!😅
Hivi wanawake nani kawadanganya kuwa waowaji wanaanzia 30 years..?
Hivyo sisi 20's tunakwama wapi..?
Kumbukeni nae anena utafika wasaa nao mwali sita watamuendea bwana mmoja wakimtaka waitwe kwa jina lake!,huku wakinena chakula tutajitafutia ila tu turuhusu tuitwe kwa jina lako..!
Siku na wasaa uukaribu😅
🙄🙄Vijana wa 20yrs bado they are young ....bado wanaenjoy ujana wao and I don't want them to miss that stage
Ati 8! Na vile nyie wazembe kitandani round moja ushazimia na kuhema kama tractorTunapiga round 8 wa tz vipi Utawezana?[emoji23][emoji23][emoji23]
Says a man living like a church mouse.Anyway thankyumanzi wa kenya hamna kitu, bora hata uganda.
Zaidi sisi wanaume wa Tanzania tunawapenda sana warembo wetu wa Kitanzania.
btw: kila la heri Kenyan toto
Mbona ujaanza na " nikikupea utawezana"Majirani wetu mpoo!
I'm 25yrs lady from Kenya searching for my better half 30-50yrs.
Note: Sina mtoto, I'm a teacher so the man lazima awe na kazi nisije kulala njaa.
Mcoastweye ni sentro,westan,nyanza,estern ,rift au mukosti?
Mcoast