Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi

Nimeshangaa hii namba 6!Haujataja umri wa mume umtakaye unaokaribiana na wangu ingawa mimi kigezo cha akili timamu sidhani kama nita-fit.Nitakusumbua tu.Nakutakia mafanikio mema,InshaAllah!π
We si upo bonyokwa wewe huku umefikajeSeychelles
π π π π π usimdanganye mdada wa watuAsikudanganye huyo.Kila siku tunamtangazia ndoa anatukatalia.Anatuambia sisi wote ni vikojozi.
Matiti ya nini wewe π π π π π π€£π€£Unahitaji watoto wangapi?
Je upo tayari kuishi nje ya nchi?
Nyash ipo je titi lipo pia?
ππuna uhakika simu hutashika?
Hamsali jumapili!Kwa hiyo wasabato tumekukosea nini mkuu! Usitufanyie hivyo...
Wee mie nipo huko ila mipango ya kwenda seychelles ipo mrembo. Vipi na wewe unataka kuolewa?We si upo bonyokwa wewe huku umefikaje
Sijamaliza natamani sana univalishe nepi uninyonyesheMatiti ya nini wewe π π π π π π€£π€£
Hujamaliza kunyonya
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Ni balaaOya huwa wanavutia hao
π€£π€£π€£una uhakika simu hutashika?
Anajua mnapenda mizigo. ila huo ni ugonjwa mbaya sana ukikushikaKijana Mwachiluwi ,mchumba huyu
Inaonekana umechelewa mda wa kupokea maombi umeisha sasa ni interview tuπPM umeifunga tunazamaje