Karibu. Jinsia yako please!Nimekuwa nikilifuatilia jukwaa hili kwa muda mrefu sasa, basi naomba nitumie fursa hii kuungana nanyi kwa ukaribu zaidi.
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji mb zako tu isitoshe ukiwa na freebasics app unaweza ingia bila mb kwa hiyo huo n uongo .karibu sanaAlaf kuna watu huko mtaani wanadanganyana eti kujiunga JF mpaka kiingilio cha 30K sijui hili limekaaje.Mods n vema mkaweka ABC(s) za jins ya kujiunga kwa uwaz maana wapo Guests wengi ila husta kujiunga kwa sabab kama hizo. Japo siyo vizur sana jukwaa hili likivamiwa na watu wenye u-facebook!!