ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Jenga hoja za msingi na za kueleweka
Story au habari usiokuwa na uhakika nayo usipost
Kupost post picha kama Facebook au Insta hapana aisee (Japokuwa jukwaa la picha lipo..ila sio za kwako wewe binafsi)
Heshimu mawazo ya kila mtu, huku kuna watu mchanganyiko
Epuka uchochezi wa aina yoyote ile...
Ukiona huelewi kitu vizuri uliza kwa lugha inayoeleweka na yenye staha..
Mwandiko wa kifacebook hauna maana huku kwa Great thinkers mfano.. xo xaxa
Mengine utajifunza kadiri ya siku zinavyokwenda mkuu
asante na nimekuelewaJenga hoja za msingi na za kueleweka
Story au habari usiokuwa na uhakika nayo usipost
Kupost post picha kama Facebook au Insta hapana aisee (Japokuwa jukwaa la picha lipo..ila sio za kwako wewe binafsi)
Heshimu mawazo ya kila mtu, huku kuna watu mchanganyiko
Epuka uchochezi wa aina yoyote ile...
Ukiona huelewi kitu vizuri uliza kwa lugha inayoeleweka na yenye staha..
Mwandiko wa kifacebook hauna maana huku kwa Great thinkers mfano.. xo xaxa
Mengine utajifunza kadiri ya siku zinavyokwenda mkuu
like ya pili sijakuelewa hapoKaribu sana, ngoja nikupe like ya pili jukwaani.
sawa nitajitahidi hapo kwenye mipaka ndio shida nahitaji kuijua hiyo mipakaKaribu sana mgeni!!!
Ningekushauri utumie siku chache kuisoma JF... Hizo categories zipo kama majina yake. Kua huru kujiachia ila kuna mipaka kidogo.
hahaha amna ila niliingia kwenye new posts nikakuta post ambayo ipo humu so namimi sikupoteza muda nikaamua kupost utambulisho kuwa namimi nipo ila niambie wapi kwengine kuna nifaa maana mimi ni kijana wa miaka 20 so siasa siwezi nambie wapi patanifaaKaribu sana japo umekimbilia MMU kujitambulisha
asanteKaribu mkuu,
kila jukwaa linajieleza so keep on reading posts utajua kila jukwaa kinaendelea nn.
siwachori ni kweli nilijiunga lakini sikuwa na muda wa kuitumia coz ckuielewa kwhyo ni kama new member ndio mana nikauliza usinichukulie vibayaMbona inaonesha umejiunga mwaka jana mkuu? Halaf unadai ni new member,au unatuchora.
View attachment 513501

Mbona inaonesha umejiunga mwaka jana mkuu? Halaf unadai ni new member,au unatuchora.
View attachment 513501
asante kunielewa nilicho hitajiAnataka kunotiwa kuwa yumo humu.
Anhaaa bora umetoka Facebook umekuja, huku..asante sana na nimekuelewa