RUDVANNESTROOY
Member
- Dec 12, 2012
- 69
- 14
Tumia hyo 2ml kama mtaji wa kuanzishia biashara.achana na mambo ya masterz,utapoteza muda tu.nenda kwenye makampuni makubwa kama microsoft etc uone kama wale key people na CEO's wa hayo makampuni kama wana masters degree.

Nadhani ungeenda ili upate hizi taarifa zote sababu mimi naona amekupa mwangaza sasa kazi kwako kufuatilia hapo OPEN UNIVERSITY.Mkuu naomba unijuze hiyo Ada ya 1,800,000/= ni ya kozi gani? je na hiyo Ada kwa Kozi
yote au Kwa semister.Je na form wanatoa lini hapo OPEN UNIVERSITY?
Mkuu naomba unijuze hiyo Ada ya 1,800,000/= ni ya kozi gani? je na hiyo Ada kwa Kozi