Hello humu ndani

kb mercedes

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
41
Reaction score
6
Za kwenu wana JF wezangu, well Mimi ni mgeni huku na pia Nina tatizo ambalo nilikua naomba niwashirikishe wenzangu. Ni wapi naweza pata a place or an organization ambayo ni safe ili niwape a kid for adoption. Plz naombeni ushauri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
krb sana mjukuu hapa JF...............
 

Hili ni jukwaa la utambulisho. Ni vema ungeenda kwenye jukwaa husika ili upate msaada zaidi wa tatizo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…