Tee princess
New Member
- Jan 30, 2019
- 4
- 2
naomba mnipokee wana jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibunaomba mnipokee wana jf
Nakazia hoja [emoji41]Karibu pm kwa muongozo zaidi
Hoja naiunga mkono [emoji41]Karibu sana,umeshasoma masharti na vigezo lakini..?
Naunga hoja mara mbili zaidi [emoji41]Ni princess OG au ni mtego? ,Wellcome onboard
Nakuunga mkono mzee mwenzangu [emoji41]Kwa nini wavulana wa kileo mnapenda sana kutumia majina na id za kike? Mnaona dada zetu wanafaidi sana au
Sent using Jamii Forums mobile app
yah..nimesomavigezo
Mh. langu jicho apa natizama kwenye acute angleKaribu pm kwa muongozo zaidi