Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hili swala liko wazi kama vazi la kahaba.Na kwajinsi anavyo tiririka, quotes, reply, kuifahamu avatar, kulifahumu jukwaa la mmu, kuifahamu pm na mambo zingine kama hizo...
Nalazimika kujiridhisha kwa kusema kwamba huyu ni mwenyeji, aliekuja na ID mpya.
[emoji16][emoji16][emoji16]Duu wajuba kama wote huku[emoji28][emoji1787] kisa Miss Sia duu we binti haki ya nani umechanganya watu nilikuwa naenda jukwaa la Soka lakini ghafla nikafunga bleki huyo hapo mara nimo humu[emoji16]
gusa moja uone mbili.Duu wajuba kama wote huku😅🤣 kisa Miss Sia duu we binti haki ya nani umechanganya watu nilikuwa naenda jukwaa la Soka lakini ghafla nikafunga bleki huyo hapo mara nimo humu😁
I’m new here[emoji847]
Tell us what insipired and invited you here?I’m new here[emoji847]
Alafu eti utaskia Dunia ina wanawake wengi hizo comments zote kwani FB hawapo[emoji23][emoji23][emoji23]Duu wajuba kama wote huku[emoji28][emoji1787] kisa Miss Sia duu we binti haki ya nani umechanganya watu nilikuwa naenda jukwaa la Soka lakini ghafla nikafunga bleki huyo hapo mara nimo humu[emoji16]
Mmpe Mgeni nafasi aseme na watu kwa kujinafasi[emoji23][emoji23][emoji23]gusa moja uone mbili.
Na kwajinsi anavyo tiririka, quotes, reply, kuifahamu avatar, kulifahumu jukwaa la mmu, kuifahamu pm na mambo zingine kama hizo...
Nalazimika kujiridhisha kwa kusema kwamba huyu ni mwenyeji, aliekuja na ID mpya.
Mkuu unatibua madili ya watu utapigwa risasi au urogwe ufe oooh😅🤦🤪🏃Na kwajinsi anavyo tiririka, quotes, reply, kuifahamu avatar, kulifahumu jukwaa la mmu, kuifahamu pm na mambo zingine kama hizo...
Nalazimika kujiridhisha kwa kusema kwamba huyu ni mwenyeji, aliekuja na ID mpya.
come Pm baby tuyajengeI’m new here[emoji847]
Atajijua mwenyewe Japo pia anaweza kuwa mgeniNa kwajinsi anavyo tiririka, quotes, reply, kuifahamu avatar, kulifahumu jukwaa la mmu, kuifahamu pm na mambo zingine kama hizo...
Nalazimika kujiridhisha kwa kusema kwamba huyu ni mwenyeji, aliekuja na ID mpya.
[emoji23]ur quoting meLol....no,mm ni mtundu tu, hakuna app ntayofugua ikanishinda kutumia, and the main reason i join here was to post my business but naona kila nikijaribu kupost inafutwa in seconds, I don’t know why. But anyways I’m enjoying this app so far and the attention I’m getting [emoji3][emoji16] somebody says power of the skirt![emoji85][emoji1][emoji38][emoji2][emoji847]
yes ndicho anachokifanya kwa raha zake kabisa.Mmpe Mgeni nafasi aseme na watu kwa kujinafasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu fanya kama unaionja sumu kwa kuilamba mzee, haipo rangi yenye utaacha kuiona...[emoji28][emoji28][emoji28]Duu wajuba kama wote huku[emoji28][emoji1787] kisa Miss Sia duu we binti haki ya nani umechanganya watu nilikuwa naenda jukwaa la Soka lakini ghafla nikafunga bleki huyo hapo mara nimo humu[emoji16]
Don't be surprised this Is Africa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I’m overwhelming too