OK... wakati wa hja ndogo kwanin huwa unachuchumaaJina tu latosha kujua jinsia
Si nasikia humu mnajiita great thinker
LIKE,
Si watu wote huchuchumaa wengine husimama (hasa wanaume)
Wanaochuchumaa huogopa usiwarukie au usiingie kwenye mavazi yao
Upo mkuu
Mm mpya mkuuNimechoka kukaribisha ID mpya za watu wenyeji, ukijiunga endelea kujimwabafai tu humu jukwaani wala hamna atakayekusumbua kuwa mbona hujaleta uzi wa utambulisho.