Hello! It's new member

Karibu sana Jf,

Umeshalipia hela kwaajili ya huduma?

mimi ndie mtunza hazina humu fanya upesi niipate.

Usisahau na ya kutolea
 
Karibu sana. Jambo la mapema ni kwenda kwenye uzi wa "jinsi nilivyokula tunda kimasihara" na kuweka ushuhuda.

Usipofanya hivyo moderator atafuta ID yako ndani ya siku 7
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…