MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Naitwa SOSPETER JOHN MTATIRO NYAKIHA ni kijana mwenye umri wa miaka 22 naishi TABORA mjini ni mjasiliamali nafanya biashara ndogo ndogo nimefurahi kuungana nanyi wana jamii forum kama kuna mwana wa mboka humu Anicheki inbox tupeane michongo