Hello, jamii forum

Joined
Aug 18, 2019
Posts
80
Reaction score
177
Naitwa SOSPETER JOHN MTATIRO NYAKIHA ni kijana mwenye umri wa miaka 22 naishi TABORA mjini ni mjasiliamali nafanya biashara ndogo ndogo nimefurahi kuungana nanyi wana jamii forum kama kuna mwana wa mboka humu Anicheki inbox tupeane michongo
 
tupia kwanza picha usijekuwa tapeli.
unafanya biashara gani?????
we ni ke/me?
 
Do you know JamiiForums who we are? Umesoma Terms & Rules? Privacy Policy je?

Kama bado hebu pitia then u are most welcome & Merry Christmas Eve to ya
 
Naitwa SOSPETER JOHN MTATIRO NYAKIHA ni kijana mwenye umri wa miaka 22 naishi TABORA mjini ni mjasiliamali nafanya biashara ndogo ndogo nimefurahi kuungana nanyi wana jamii forum kama kuna mwana wa mboka humu Anicheki inbox tupeane michongo
Sawa duhhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…