hello jamii forum

hello jamii forum

MOST welcom (karibu na tafadhaL) utajifunza mengi sana mazuri ya humu chukuwa na Mabaya yaache humu humu.
Good Luck.
 
Jiandae kupata maudhi na kuyakubali kwa sababu hili ni jukwaa lenye watu wenye umri mbalimbali.
Ila above all jitahidi kuwa great thinker. Itakusaidia wewe mwenyewe zaidi kuliko itakavyowasaidia waliomo humu.
Karibu
 
Karibu sana.Tunategemea utakuwa na mawazo ya kujenga wakati wote.
 
Back
Top Bottom