Hello Jamiiforums

Ombeni w lema

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
22
Reaction score
1
Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu,
 
dah! post ya introduction, umeipost jukwaa la JF Doctor na inazungumzia siasa. yaani umechanganya majukwaa matatu kwenye post moja. huu kweli ni ugonjwa serious. tumsubiri mzizimkavu alete dozi zake za vitunguu.

kama ulikusudia kukaribishwa. karib sana.
 
Jamani ccm naona bado wanatumia ubabe usio na maana,kila kitu wao tuu?mpaka umea wanataka kukumbatia,si wache na vyama pinzani nao wawe juu,
Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu?
 
paulss huyu bwana:inawezekana anatatizo mbaya zaidi hajui kama anaumwa hivyo mpelekeni milembe kwa uchunguzi.
 
Kabla ya kukusaidia tiba ya ugonjwa wako ningetaka kujua hili tatizo lako la kuchanganyikiwa hadi kuchanganya mambo hivi lilikuanza lini hasa ndugu?

Hahaahaa kweli mkuu ni lazima ku-diagnose kabla ya kutoa tiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…