Nakimbizwa
Senior Member
- Jun 19, 2023
- 154
- 302
ShukranKaribu sana JamiiForums...
Asante sana ...GT ndio nini?Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
TayariHebu geuka nikuone.
TayariCha kwanza weka picha yako ndio utambulisho wako πππ
Asanteee sanakaribu JamiiForums
Great Thinkers.Asante sana ...GT ndio nini?
Ongezea KILA mtu ni usalama wa taifa!Karibu JF humu kila mtu ana Degree,Usafiri binafsi,Nyumba ambayo ina kila furniture aina zote uzijuazo na kiherehere!!
Wa nani?Mwandiko huu naujua.