hello JF members

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
2,064
Reaction score
504
Asante JF na wadau wake wote kwa michango na mada nzito nzito zinazogusa jamii yetu ya Kitanzania. ndio maana nimevutiwa sana kujiunga na JF. nawapenda wote!!
 
Karibu sana JS. Tunasubiri michango mbalimbali na ya kusisimua kutoka kwako.
 
karibu kaka/dada.....ila kumbuka ''mkono mtupu haulambwi'' hivyo changia ili jf iendelee na iwe juu kama facebook..........
Asante JF na wadau wake wote kwa michango na mada nzito nzito zinazogusa jamii yetu ya Kitanzania. ndio maana nimevutiwa sana kujiunga na JF. nawapenda wote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…