speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
Habari wakongwe wa JF! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa blog hii kwa takribani miezi saba ama zaidi kabla ya kuamua kujiunga rasmi 03/10/2013, nimejifunza mengi sana na nimebadilika na kutanuka kifikra kupitia mawazo ya wadau mbali mbali! I hope tutakuwa pamoja naombeni mnipokee.