speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
karibu sana JfHabari wakongwe wa JF! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa blog hii kwa takribani miezi saba ama zaidi kabla ya kuamua kujiunga rasmi 03/10/2013, nimejifunza mengi sana na nimebadilika na kutanuka kifikra kupitia mawazo ya wadau mbali mbali! I hope tutakuwa pamoja naombeni mnipokee.
Karibu sana.Habari wakongwe wa JF! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa blog hii kwa takribani miezi saba ama zaidi kabla ya kuamua kujiunga rasmi 03/10/2013, nimejifunza mengi sana na nimebadilika na kutanuka kifikra kupitia mawazo ya wadau mbali mbali! I hope tutakuwa pamoja naombeni mnipokee.
Karibu sana mjukuu JF.
Karibu jf. Ila sio blog
karibu sana Jf
Habari wakongwe wa JF! Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa blog hii kwa takribani miezi saba ama zaidi kabla ya kuamua kujiunga rasmi 03/10/2013, nimejifunza mengi sana na nimebadilika na kutanuka kifikra kupitia mawazo ya wadau mbali mbali! I hope tutakuwa pamoja naombeni mnipokee.