Hello jf, naomba mnipoke nimetoka mbali

Hello jf, naomba mnipoke nimetoka mbali

puchu

New Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Social network niliyokuwapo nimeiacha na kuja hapa jamiiforums 4rever
thanks
 
puchu karibu sana jamvini. Kuna chama cha wapiga puchu humu ndani, usikose kujiunga.
 
Last edited by a moderator:
Kilikuwa kinaongozwa na Dark City na Asprin ila baada ya babu DC kuzeeka na asprin kupata meko wakawaachia mtotowamjini na mtotosix.
Karibu na ujisikie upo nyumbani.

:biggrin1: mmh mi fujo za asprin siziwezi..sijui wanatumiaga mizizi gani!! Ila huyo mgeni kama ni mgeni kweli sio kwamba yuko kwenye BAN na ID yake nyingine unakaribishwa ulikua wapi siku zote...mambo yote ni hapa
 
Ha ha ha haaah!! Mentor nasikia wewe ndio mlezi wa chama.
Katavi, mimi ni mlezi wa chama cha mabachelor..Mzazi mlezi.
Huku kwa puchu siko ukisikiwa na mke wangu Catherine ndo utajua maharage ni mboga na nyanya ni kiungo!!!
 
Last edited by a moderator:
Social network niliyokuwapo nimeiacha na kuja hapa jamiiforums 4rever
thanks


Mbona unatoa taarifa nusu nusu puchu??

Kwa vile umeamua kusema, basi mwaga mboga hapa kwani inaonekana jamaa walishamwaga ugali!!


Karibu lakini....naamini utakuwa na wewe ni mjukuu mtiifu wa Babu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom