Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Siwez kuwaangusha , nina wakilisha Nchi mkuuuHahaaaa, usituangushe sasa.
Alafu wewe ni mwenyeji. Neno (mkuu) nani kakufunza?Oohhh.. ni IqraNI mkuu
Hahahaa.. aondoe hofuSiwez kuwaangusha , nina wakilisha Nchi mkuuu
Et IqraNI huyu jamaa anahofu nitawaangusha, naomba unisaidie kwa pamoja mimi nawewe tumprove wrong !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niaba yake nakazia , Ondoa shaka !! Aliposhika hawezi kuachia.Hahahaa.. aondoe hofu
Habari ya jumapili Carlos?
Nini mbaya etii??Jumapili ilikua mbaya , maadam umeonekana, nmejihisi kupona 100% , nawee ulinimiss kama mie nilivokua nmekumis ?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmefua mpaka mgongo umeuma, nataman wakati nafua ,ungekuapo unasuuza !Nini mbaya etii??
Oohh poleeeNmefua mpaka mgongo umeuma, nataman wakati nafua ,ungekuapo unasuuza !
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante IqraNI , nambie, jpl hii huwa unapendelea kutembelea sehem ya aina gan?Oohh poleee
Baada ya kutoka church ni kukaa tu ndaniAsante IqraNI , nambie, jpl hii huwa unapendelea kutembelea sehem ya aina gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahhh ratiba yako imekaa vzuri , ila siku moja moja unatoka na Carlos !!Baada ya kutoka church ni kukaa tu ndani