Nyamambovu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 226
- 724
Nyama mbovu karibu jukwaani!.Happy to join, Hope ntajifunza na kufurahia Zaid.I also need 2 learn from Senior members [emoji120][emoji120]
Mbona uchokozi lakini π€£Nyama mbovu karibu jukwaani!.
Jitambulishe vizuri basi!.
Picha yako na umriMkuu Cha ziada nn TNA
Muelekeze mgeni vizuri! πππMbona uchokozi lakini π€£
Bado picha, mahali unapoishi, mawasiliano(namba ya simu)Early 20's, single
Vyote hvyo nxhawa2mia wahusika[emoji74][emoji75]
Kwa uandishi huu, tayari nimesha pigia mstari nilichokua nakiwazaVyote hvyo nxhawa2mia wahusika[emoji74][emoji75]
Au muoteaji mzuroUtakufa nabii ww