Hello JF!!

Hello JF!!

Mwihadisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
604
Reaction score
227
Mwanachama mpya/mgeni najiunga rasmi leo, nategemea kupata na kukabiliana na changamoto za JF!!!!

Nawatakia mwaka mpya mwema kwa wale watakaojaaliwa
 
Mwanachama mpya/mgeni najiunga rasmi leo, nategemea kupata na kukabiliana na changamoto za JF!!!!

Nawatakia mwaka mpya mwema kwa wale watakaojaaliwa
Happy New Year Mbata, karibu sana jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Jaman wana jf nimekuwa nikifuatilia jukwaa hili kwa muda mref sana sikujiunga mapema kwa sabab niliamini ktk falsafa ya fid q "ni bora kukaa kujifunza mengi sio kujua kila kitu"
 
Back
Top Bottom