jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,901 Sep 24, 2016 #1 Nimeamua kuwapa hi,na kusema nawakubali sana huku ni zaidi ya magroup ya watisapu na pia twitter Siku inakuwaga fupi pindi niingiapo JF (blessed to you all). nambie kitu usichopenda kwangu (hata kama napost childish thng just tell me)
Nimeamua kuwapa hi,na kusema nawakubali sana huku ni zaidi ya magroup ya watisapu na pia twitter Siku inakuwaga fupi pindi niingiapo JF (blessed to you all). nambie kitu usichopenda kwangu (hata kama napost childish thng just tell me)
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,258 Reaction score 2,842 Sep 24, 2016 #2 jerrysonkiria said: Nimeamua kuwapa hi,na kusema nawakubali sana huku ni zaidi ya magroup ya watisapu na pia twitter Siku inakuwaga fupi pindi niingiapo JF (blessed to you all). nambie kitu usichopenda kwangu (hata kama napost childish thng just tell me) Click to expand... Hi
jerrysonkiria said: Nimeamua kuwapa hi,na kusema nawakubali sana huku ni zaidi ya magroup ya watisapu na pia twitter Siku inakuwaga fupi pindi niingiapo JF (blessed to you all). nambie kitu usichopenda kwangu (hata kama napost childish thng just tell me) Click to expand... Hi
Valentina JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 24,684 Reaction score 28,777 Sep 24, 2016 #3 Ngoja nianze kukufatilia kwanza teh
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,952 Sep 24, 2016 #4 Hello:Tunathamini mazuri tunayojifunza kutoka kwako kupitia Jf na hizo childish things tunainjoy pia