Hello members, I am new here

Abushiry

Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
91
Reaction score
75
Hello members,, Abushiry npo dar nahitaj marafik wa rika yoyte umri kuanzia miak17-30 umri wangu miaka 20,,wenye kuleta faida katka maisha.shukran
 
"wenye kuleta faida katika maisha"
Hapo unataka wawe wanakuingizia shilingi ngapi kwa siku!
 
Karibu sana, hapo sebuleni kuna mlango wa kushoto gonga hapo, kisha kulia kuna mlango wa koldo nenda nalo mpaka utawakuta wana JF wanabalizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"wenye kuleta faida katika maisha"
Hapo unataka wawe wanakuingizia shilingi ngapi kwa siku!
😁😁😁😁 Nmaansha wawe friends positive not negative mkuu
 
Karibu sana, hapo sebuleni kuna mlango wa kushoto gonga hapo, kisha kulia kuna mlango wa koldo nenda nalo mpaka utawakuta wana JF wanabalizi

Sent using Jamii Forums mobile app
🀨🀨 Shukran Sana bro ndo nmeket hapa sebulen😁😁 nsubir chai aseeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…