hello members!

Ikunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2010
Posts
718
Reaction score
152
hodi humu ndani waungawana, natumai wote wazima, naombeni mnikaribushe tafadhali
 
Karibu jamvini Ikunda, tunasubiria michango yako ya mawazo na hata mali. Ni kukumbusha tu hapo nilikokoleza!!
 
asante sana Kyachakiche, hapo ulipokoleza ni gugumizi la vidole tu.
 
karib sana. wakikukera usisite kunijulisha. naitwa klorokwini nafanya kazi microsoft office tawi la kigoma.
 
mikono miwili na kichwa kimoja
 
karib sana. wakikukera usisite kunijulisha. naitwa klorokwini nafanya kazi microsoft office tawi la kigoma.

asante sana klorokwini, mie nitakutafuta malaria ikinisumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…