Hello, mgeni wenu jamani

Hello, mgeni wenu jamani

multiple

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
389
Reaction score
627
Heshima kwenu wakuu.. nimekua nikiperuzi kwa muda mrefu lakini sikuwa nimejiregister. Nimeingia sasa kwa miguu yote.

Nimenishawishi sana watu mnajua vitu mpaka basi aisee. Amebarikiwa Preta FaizaFoxy intermediate mshana jr miss chagga Evelyn Salt ni weeeengi mno ..nimebarikiwa na mchango yenu sana bila kumsahau GENTAMYCINE huyu kila kitu anajuaga aisee.@bushland.

Mnipokee kwakweli....ahsante
 
Nyie mnatuzuga tu! Hakuna cha ugeni wala nn! Mmeanzisha kurasa mpya tu! Umejuaje kumtag mtu?
hapana mi nimgeni kaabis akabisa mkuu.. nilikuwa nafailiaga kabla sijajiregister .kwahiyo naelewa tuu ..ondoa shaka kwan wewe nani alikufundisha kutag
 
.Heshima kwenu wakuu.. nimekua nikiperuzi kwa muda mrefu lakin sikua nimejiregister. nimeingia sasa kwa miguu yote. mmenishawishi sana watu mnajua vitu mpaka basi aiseE. Amebarikiwa Preta FaizaFoxy intermediate mshana jr miss chagga Evelyn Salt ni weeeengi mno ..nimebarikiwa na mchango yenu sana bila kumsahau GENTAMYCINE huyu kila kitu anajuaga aisee.@bushland... mnipokee kwakweli....ahsante

Bado sijaona ugeni wako!!
Me nahisi ni kama account yako ya pili vile...
 
Yaani ninyi watoto wa siku hizi, kwanini hutaki kuamkia?
 
Back
Top Bottom