hello mi naitwa g ladie nikaribisheni wadau!!!!!!!!!!!!!!!!

gerti

New Member
Joined
May 8, 2013
Posts
3
Reaction score
0
mimi kama g ladie nachukua nafasi hii kuungana na wadau wengine wa jf nasubiri tu kukaribishwa
 
karibu sana g ladie naomba niwe mwenyeji wako mama!!!:yell:
 
karibu mkuu via jf rules.
 
g ladie halafu amepost gerti!?. mmh! karibu. mia
 
karibu gerti.hapa mabinti wote kama ni wazuri na wapya hukaguliwa na babu asprin.usimuogope huyu babu hang'ati(sana),kama ni mzuri na umeshatumika utakaguliwa na boflo a.k.a sukari ya warembo,huyu boflo hana shida kabisa,bunduki yake ni kama zile zilizoko jumba la makumbusho!!!!mwisho kama upoupo tu tutakukabidhi kwa mzabzab kwa ajili ya matumizi!

haya tuambie ukoje ukoje tukukabidhi kwa mtu husika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…