P prosperity93 Member Joined Sep 1, 2009 Posts 58 Reaction score 28 Sep 1, 2009 #1 naomba kukaribishwa humu jamvini, nimekuwa mshiriki mzuri wa hii forum kwa kusoma tuu na wala sikuweza kuchangia chochote. natumaini nami nitkuwa mmoja wa wachangiaji. be blessed
naomba kukaribishwa humu jamvini, nimekuwa mshiriki mzuri wa hii forum kwa kusoma tuu na wala sikuweza kuchangia chochote. natumaini nami nitkuwa mmoja wa wachangiaji. be blessed
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 161 Sep 1, 2009 #2 karibu pita hadi ndani kabisa. usivue viatu, ingia tu.