PATA ELIMU MAANA NI UTAJIRI USIYO ISHA JE, UNAHITAJI KUJIFUNZA KIINGEREZA CHA KUONGEA NA KUANDIKA KWA WIKI CHACHE? JE, NYUMBANI KWAKO UNA WATOTO WALIO DARASA LA 4 HADI LA 7 AU FORM 1 HADI 4 NA UNGEPENDA WAJIFUNZE KIINGEREZA CHA KUONGEA, KUANDIKA NA KUJIBIA MTIHANI? JE, UNAHITAJI KUJIFUNZA KUTUMIA COMPYUTA? TUTAKUFUATA POPOTE ULIPO ILI TUKUFUNDISHE KAMA UNAISHI MAENEO YA VIKINDU, KISEVULE, MWANDEGE NA MBAGALA, MALIPO NI SH 3000 TU KWA KILA MASAA 2 AU SH 17,000 KWA WIKI/SIKU 7 ILA NA MAELEWANO YAPO KUHUSU MALIPO,WAHI MAPEMA HUDUMA HII MWISHO MWEZI WA TATU MWAKA 2015 NA ITAHAMISHIWA SEHEMU NYINGINE TANZANIA PIA NATAFUTA TENDA YA KU REPAIR COMPUTER MASHULENI,VYUONI,MAKAMPUNI NK LAKINI MAENEO YA MKURANGA,VIKINDU,MBAGALA,MWANDEGE NA SEHEMU ZOTE ZA DSM 1. Kuanzia computer 5 hadi 10 ni sh 80,000/= kwa kila mwezi na nitakuwa tayari kuja kutatua tatizo litakalojitokeza katika computer. 2. Computer 11 hadi 25 ni sh 120,000/= /= kwa kila mwezi na nitakuwa tayari kuja kutatua tatizo litakalojitokeza katika computer. 3. Computer 26 hadi 50 ni sh 170,000/= kwa kila mwezi na nitakuwa tayari kuja kutatua tatizo litakalojitokeza katika computer. Huduma zote nilizotaja hapo juu kama tatizo litakuwa ni la kuingiza program kwenye computer itakuwa juu yangu maana program zote muhimu ninazo lakini kama computer itakuwa inahitaji hardware/kifaa kipya baada ya kuonekana kilichopo ni kibovu ofisi yako itahusika na upatikanaji/manunuzi ya kifaa hicho na mimi nitatengeneza/kukipachika katika computer. Pia nina fundisha computer applications, maintenance and repair na somo la kiingereza kwa masaa/part time. SIMU ..0688850727 AU 0712805697