Hapana situmii server. Ni zangu naziweka manually.Actually nimeset computer yangu kwamba inafanya back up automatically. Natumia Vista Home Premium. Actually inafanya backup ya chochote nilichosave katika C, E na F; iwe ni pictures, songs, videos, word files etc. Na partition ya G ni kama 100Gb. Namna folders zilivyoandikwa ni 'Backup files.zip' lakini ukizifungua unakuta files kama zinavyokuwa saved katika sehemu nyingine yoyote katika Computer na naweza kuzifungua na kuzisoma na extension zake iwe ni pub kwa publisher nk