Usitake kujua maisha ya watu humu. Angalia unachotaka kama ni upuuzi utafute kama ni maarifa yapo pia.
Niende wapi? Humu naweza kukaa popote pale.Sawa mkuu nimekusikia unaweza kwenda bablaii
Niende wapi? Humu naweza kukaa popote pale.
Nitemee dingiii
Tatizo ni kwamba unaleta ufacebook huku [emoji28][emoji28]
Wewe mbona una ID fake? Kwani kwenye National ID yako jina linasoma hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivip? [emoji136]
Kuulizana kuhusu maisha kwenye thread ni ufacebook mkuu....
Umejuaje?Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni
Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee
(NINAMASWALI KIDOGO)
-Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? )
-tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni wasomi tena leave za juu (wamesomea nje ya nchi) je ni keel au mbwembwe tuu.
Niulize chochote nitakujibu
Pia na pokea ushaur juu JF kama mgeni.
Umejuaje?
Karibu sana JF................
Mbona umekuja kwa mbwembwe nyingi?Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni
Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee
(NINAMASWALI KIDOGO)
-Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? )
-tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni wasomi tena leave za juu (wamesomea nje ya nchi) je ni keel au mbwembwe tuu.
Niulize chochote nitakujibu
Pia na pokea ushaur juu JF kama mgeni.
Mbona umekuja kwa mbwembwe nyingi?
Mgeni kweli au ulikuwepo?
Ukija JF tulizana kwanza, soma mazingira.
Leo leo unataka tukuulize na maswali?
Sawa, karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona dotto chamchua rangimoto anatumia ID halisiHello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni