Hello , ni member mpya wa hii kitu nahitaj ukalibisho wenu

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
daaah ni furaah yangu kua mmoja wa watu katika jamiiforums ambaye nitaweza kushare post mbalimbali na wezangu pia na kubishana kwa hoja Katika Post Za member wengine
 
umekalibisha ukalibisho safi....kalibu.....hahahaha karibu bana
 
Karibu sana Great Cbn

JF ni jukwaa huru, tunasubiri mawazo yako mkuu!
 
Last edited by a moderator:
ww MUUMINI wa PINDALISM, jukwaa lina wenyewe hili, no JUHA's allowed, ccm imekutuma!
 
daaah ni furaah yangu kua mmoja wa watu katika jamiiforums ambaye nitaweza kushare post mbalimbali na wezangu pia na kubishana kwa hoja Katika Post Za member wengine

Naona kazi imeanza kule upande wa pili!
 
Asanteni wana JF mlioonyesha upendo katika kunikalibisha kama watu8 , Izz , kbosho, Ulimakafu,Sanzjr Hamma,Globu, bily na wengine wote nilowasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…