Hello ni mgeni mahali hpa

Hello ni mgeni mahali hpa

Umetokea fb? Kama ndivyo, utoto wa fb, instagram na twiter uuache hukphuko plz
 
Asanteni sana
Na nmeshawaelewa kwa ushauri wenu wakuu
 
Huyu jamaaa ulimakavu yeye ni kukaribisha wageni tuu zaidi ya hapo sijawahi ona coment yake kwenye nyuzi zingine wa akianzisha uzi wala like
Bila shaka nawe utakuwa shabiki yake no 2,ukianza na mm,maana siyo kwa kumfatilia uko
By the way huenda yuko busy hana muda wa kuanzisha nyuzi,kwa mtazamo wangu atakuwa ni baba wa familia mwenye watoto si chini ya 3

Au hapendi kuongea sanaaaa,basi anaishia kukaribisha wageni tu,najua hata hii comment hata I quote coz si muongeaji maybe Ku like kama akipita.

Bila kusahau kuna id mpya kibao huenda anazoo,hiyo ya kukaribisga wageni tu.
 
Huyu jamaaa ulimakavu yeye ni kukaribisha wageni tuu zaidi ya hapo sijawahi ona coment yake kwenye nyuzi zingine wa akianzisha uzi wala like
Bila shaka nawe utakuwa shabiki yake no 2,ukianza na mm,maana siyo kwa kumfatilia uko
By the way huenda yuko busy hana muda wa kuanzisha nyuzi,kwa mtazamo wangu atakuwa ni baba wa familia mwenye watoto si chini ya 3

Au hapendi kuongea sanaaaa,basi anaishia kukaribisha wageni tu,najua hata hii comment hata I quote coz si muongeaji maybe Ku like kama akipita.
 
Nadhani aisee maana siku najiunga humu yeye ndie wa kwanza kunikaribisha [emoji2][emoji2][emoji2]

Back
Top Bottom