Hello nimerudi tena jamani naomba mnipokee tuendelee kujumuika pamoja

Nyatyo

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
89
Reaction score
78
Habari wakuu nilipotea kitambo sna sasa nimerudi lkn natumia account mpya sasa ile ya mwanzo nilisahau pasward so naomba ushirikiano wenu[emoji120][emoji120]
 
Karibu tena JF jitahidi na hii usiisahau tena nywila yake
 
Mkuu, Kwanza nikupe pole!
Kwa hizo trophy point 20 post zako zitakuwa viewed na watu si zaidi ya 50 na replies 3 tu kwa mwezi mzima! Pole sana!
 
Back
Top Bottom