hello people,naomba kuwasiliana na watu wanaofuga kuku wakisasa wa mayai kwani nataka kujifunza

hello people,naomba kuwasiliana na watu wanaofuga kuku wakisasa wa mayai kwani nataka kujifunza

ashley

New Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
1
Reaction score
0
mimi ni mfugaji wa kuku wa kisasa mkoani,nahitaji kubadilishana mawazo na watu wanaofuga kuku wa kisasa wa mayai popote pale walipo,nitashukuru endapo nitapata wafugaji wenzangu au watu ambao wana idea ya ufugaji kuku wa mayai wa kisasa, chaoo.
 
Back
Top Bottom