Hello My people nimefurahia kuona hii Forum Pekee yaki Tanzania!
mimi ni Mtanzania.
My name(jina):Khalid Salim
I live :in Dares Salaam
Nina miaka:18
Ninapenda na kujua mambo mengi ya software and jinsi ya kutatua matatizo ya computer and blogging ninapenda kucheza gamiing stuff like Pc gaming ,PSP gamin and others!!