Hello wa JF

Joined
Dec 18, 2012
Posts
8
Reaction score
2
Wana JF nasema habari zenu kwa pamoja!
baada ya kuifatilia JF kwa mda wa kutosha na mimi nimevutiwa kuwa mmoja wa wachangiaji nikiwa naamini ni mwanamapinduzi wa kweli katika harakati za kuikomboa nchi yetu kutoka kwa wasioitakia mema.
Nchi yenye kila neema,lakini waroho wachache wanataka waifaidi peke yao.

Haya nimeshaingia humu tutaonana sana.
 
MUBHIBHI hii tabia ya kupitia dirishani si nzuri,utakuta watuwazima tumekaa vibaya uanze oooh..err.. mi. mi!
karibu mwana!
 

Soma
https://www.jamiiforums.com/rules.php, itakusaidia kuwa member mwema.
 
Isagha nkamu...karibu sana JF
 
Karibu JF mkuu, ama baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…