Hello Wadau: Ving'amuzi na Raia wa Kawaida wa TZ

tikomb

New Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
4
Reaction score
1
Ving'amuzi vs Simu za Mkononi (Mobile Phones)
1. Vyote vinatumia Chip (Programmed Chip Cards) - kwa cimu, tanzania imezoeleka kama lines.
2. Kwa mujibu wa technolgia huduma (services) nyingi kama co zote za mobile telephones zinaweza kutolewa kwa ving'amuzi vilevile (Airtime cost, Internet, etc).
3. Makampuni kadhaa ya Ving'amuzi na Simu za Mkononi yanatoa huduma aina moja kwa ladha (flavour) tofauti.
Kumbuka kuwa kwenye Mob. mtu anaweza kununua cm yoyote kama nokia, samsung, sony, etc na akaweka chip yoyote na kubadilisha kadiri mahitaji ya mahitaji yake ya kimtandao.

Maswali kwa TCRA
1. Kwanini TCRA ili kumpunguzia gharama raia wa kawaida, hawajaweka sera ya kuacha huru ving'amuzi kwa kuuzwa na kununuliwa kama zilivyo cimu na watoa huduma za kurusha matangazo kama Startimes, Agape (TING), na BTL (Digitek na Sahara Media) wakauza Cards na Services (Huduma) na mteja akawa huru kuweka card kadiri ya huduma anayotaka (Channels anazotaka). Hii ni kwakuwa kuna channels tofauti tofauti (flavours) kulingana na kampuni inayotoa huduma. Hii ni kwa vile kuna channels kwenye startimes ambazo Agape hawana na ambazo zipo agape startimes hawana na hivyohivyo inatarajiwa kuwa kwa BTL.

2.Hivi TCRA hawajui kuwa kwa mujibu wa vigezo vya kutoa huduma hasa za electronic Urahisi wa kiutendaji (Simplicity/Portability) ni mojawapo ya vigezo?
Hebu angalia: Kuna Channel X ya Startimes naihitaji kuiona saa kumi jioni, saa kumi na mbili jioni nahitaji Channel Y toka Agape na saa moja nahitaji Channel Z toka BTL. Inabidi meza yangu ya TV ijae ving'amuzi si chini ya vitatu (3), na Kila baada ya saa moja nahitajika kubadilisha cables au niwe na "hub"/connector (kiunganishi) chenye options nyingi.

Wadau mnaonaje hyo!
 
Kweli mkuu,karibu.
 
Ahante wadau nahisi furaha kuwa ndani ya JF.
 
Back
Top Bottom