Hello wana Jamii Forum

MpangoA

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
360
Reaction score
231
Kwa kipindi kirefu nimekuwa guest viewer nikifaidi busara na uchambuzi wa kina ndani ya jukwaa hili. Nimeona si vema kuendelea kuwa kimya hivyo nimeamua kujiunga rasmi ili nami niweke mchango wangu katika mabadiliko ya nchi yetu. Napendelea zaidi mambo ya uchumi na biashara, ila kwa sababu siasa ndio kila kitu nimeamua salamu yangu ya kwanza iwe kwenye jukwaa hili kwani ni ukweli usiopingika kwamba jukwaa la siasa ndilo jukwaa kubwa kuliko yote ndani ya JF. Naomba mnipokee na Mungu atuongoze!
 
karibu...hii ndiyo home of great thinkers so tunahitaji constructive criticism
 
karibu mkuu, Vua Gamba Vaa Gwanda ndo mpango mzima hapa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…