SPINE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2017 Posts 1,068 Reaction score 1,150 Dec 12, 2017 #1 Habari ndugu zangu, Mwenzenu ndio hivyo nimejiunga kundini, napenda mada zinazochangiwa hapa JF ndio maana nikaamua kujiunga leo, natumaini kupata kile nilichofuata na niko tayari kutoa ushirikiano kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa.
Habari ndugu zangu, Mwenzenu ndio hivyo nimejiunga kundini, napenda mada zinazochangiwa hapa JF ndio maana nikaamua kujiunga leo, natumaini kupata kile nilichofuata na niko tayari kutoa ushirikiano kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 12, 2017 #2 Karibu sana JF.............
Jitu jeusi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,715 Reaction score 2,385 Dec 12, 2017 #3 Karibu, ngoja tukupe form ya kiapo