Dear all,
Kwa heshima na tahadhima napenda kuchukua fursa hii adimu kuwasalimieni wote wana JF.
Ni ukweli usiopingika kwamba njii hii ya mawasiliano inatupatia fursa ya kuweza kupata mitazamo mbali mbali kuhusiana na jamii inayo tuzunguka.
Ama kwa hakika najisikia vizuri kuwa miongoni mwa wana jamii na nategemea kuongeza chachu zaidi katika mada mbali mbali.
Okay wadau sina mengi.....one important message. "You never get a second chance to a make a good first impression".
Best regards,
K mkubwa.