Sawa... Hongera sana... Na kaributayari nina mchumba
Karibu JF pia karibu na kwangu???? [emoji23]wana jamii forum mie ni mgeni humu naomba mnikaribishe
na bila shaka naamini ntafaidika na mengi ya elimu burudani na makala nyingi za humu
natanguliza shukrani zangu
Wanakimbiaga hao, vip wa reserve unaye?tayari nina mchumba