Hello...

Hello...

karibu pm agness aka aggy au masogange
 
Habarini zenu jamani.. Naitwa Agnes. Ni mgeni humu ndani. Naomba mnikaribishe[emoji18] [emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app

since : 2012 Dec 18

Mgeni mkuu hii account ulifunguliwa na mzazi wako ndio amekupa hivi karibuni??? [Jokes]


Karibu mwenyeji wangu.
Screenshot_20170904-141336.png


Yaani bado nawaza tu kwanza
 
comrade inabidi hata wewe akukaribishe maana ulichelewa miezi kidogo
Nikweli kwa I'D hii anapaswa anikaribishe. Lakini kwenye ile I'D nyingine bado nimevuka tambo nyingi sana Comrade....[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom