Tuma picha tuone kama ni Acne Vulgaris au Acne Conglobata.
Dawa zipo zaki hospitali e.g Hydrogen Peroxide Ointment na ukiweza pata topical antibiotic ya jamii ya tetracycline.
Kuna nyingine dawa ya tatu kama chunisi ni extensive ila sasa inaitaji Umakini maana kama wee ni mdada na unategemea kujifungua siku za karibuni inaweza athiri mwanao!