Dulla Same
Member
- Sep 22, 2018
- 40
- 13
Model bongo, utatumika hadi uje uwe mjanja ushawafanya jamaa milioneas we kalime korosho kijana achana na hayo makituNaitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam
My hobby is to be a model
So naomben support yenu
Facebook : Dulla Same
WhatsApp, call or sms +255717675101
Instagram account ndo naiandaa bd haijawa official
Thanks [emoji112]View attachment 877597View attachment 877598
Hata me naweza kuwa bwana akoKaribu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu....[emoji53] [emoji53]
Pesa ipo, nitafanikisha tuModel bongo, utatumika hadi uje uwe mjanja ushawafanya jamaa milioneas we kalime korosho kijana achana na hayo makitu
Suala siyo mpunga, connection kijana ndo kitu cha msingiPesa ipo, nitafanikisha tu
Daaaahhh[emoji3][emoji3][emoji3]Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu....[emoji53] [emoji53]
Daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hata me naweza kuwa bwana ako
Pesa hamna mahali inafeli
Na bila mpunga huwez pata connectionSuala siyo mpunga, connection kijana ndo kitu cha msingi
Huyu dogo ninawasiwasi nae,ameingia mjini kwa pupa,ngoja atafunwe.Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu....[emoji53] [emoji53]
Ni kweli mkuu,JF ina wanaume waharibifu sana!Karibu sana Dula, lakini jihadhari na mabwana, ambao ni wanaume waharibifu....[emoji53] [emoji53]
Na mbaya zaidi naona ameambatanisha na picha ya mrembo kwenye uzi wake....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Huyu dogo ninawasiwasi nae,ameingia mjini kwa pupa,ngoja atafunwe.
Tatizo mvulana amehisi nimemtusi, ilhali nimemtahadharisha tena kiroho safi.....Ni kweli mkuu,JF ina wanaume waharibifu sana!