Hello

Hello

Karibu sana ndugu mjumbe.

Kuna ushirikiano wa kila aina.

Kuna ushirikiano hasi ambao hua tunautoa sana sisi jobless tunaoungaunga maisha.

Kuna ushirikiano chanya. Kama wewe ni mtu wa stori utaupata sana huu.

Kuna ushirikiano hasi-chanya ambao utaupata kama unashea interest.

Ila matusi mwiko.

Siri za PM kuzileta jukwaani ni mwiko.

Kumtaja mtu kwa jina lake la kweli (unless ni verified kama mimi) ni mwiko.

Kutapeli mwisho mara moja. Ukizidisha tutaonana wabaya.

Pia utaona watu wanaanza kukuita mkuu,.

Mengine utajifunza pole pole.
 
Back
Top Bottom