Hello!

Hello!

Slow learner

Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
18
Reaction score
8
Habari za hapa ndani wakuu, Binafsi nilikuwa mtumiaji wa Jf nje ya pazia kwa muda,lakini nimeona vyema niingie ndani nikae kabisaa,Need your cooperation please.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT, sisi ni vikongwe aka wahenga.
 
Karibu sana mkuu hiyo ovatar ni wewe?

Back
Top Bottom